Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Njaa mbaya sana, angekuwa anapenda wanawake wanaojisimamia asingekuwa anawadhalilisha then. Wapuuzi wote hawa.Muigizaji JB amesema nafasi zikishikwa na anafarijika sana na tangu nikiwa mdogo alikuwa anapendezwa na wanawake wanaosimama wenyewe ameyasema leo kwenye uzinduzi wa Documentary ya #TanSamia Mlimani City
View attachment 3455760
Kikubwa ni mgumba... hii akili chafu itafia kwenye makende yakeTatizo sio yeye, babake hakutumia condom.
Fafanua mkuuHuyo hata kizazi hana kudadadeki
Dah kwenu watoto wanakwenda kunyonya kwa bibi zao?Ndio maana mnakuwa walalamishi na wadekaji wakubwa.Kila jambo nyie ni kulalamika na kulialia tu. Malezi ya kwa bibi zenu.Komaa kamanda wacha kulialia.Ndio maana tunashauri watoto wanyonye hadi miaka 2 kwa mama zao. Sio mtoto unamkatisha anakwenda kunyonya kwa bibi yake tokea ana miezi 3. Madhara yake ndio haya sasa
😂😂😂😂Huyo hata kizazi hana kudadadeki
😂😂😂😂😂Apeleke ugumba wake huko na yeye...
Angekua na kizazi angejua namna gani watoto wajao wakikua watakaa kwenye dimbwi la umasikini na maisha magumu ambayo hayana ulazima
Tegemea ukuu wa Wilaya.Muigizaji JB amesema nafasi zikishikwa na anafarijika sana na tangu nikiwa mdogo alikuwa anapendezwa na wanawake wanaosimama wenyewe ameyasema leo kwenye uzinduzi wa Documentary ya #TanSamia Mlimani City
View attachment 3455760