GE2025 Muigizaji JB: Moyoni mwangu naamini nchi itakuwa salama ikiwa na mama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Muigizaji JB amesema nafasi zikishikwa na anafarijika sana na tangu nikiwa mdogo alikuwa anapendezwa na wanawake wanaosimama wenyewe ameyasema leo kwenye uzinduzi wa Documentary ya #TanSamia Mlimani City

Your browser is not able to display this video.
 
Drama hizi maigizo bongo movie
 
Nimeona kilo moja ya makopo bei iko juu kuliko kilo moja ya mbaazi. Kwa my opinion, bora uokote makopo kuliko kuwa mkulima wa mbaazi.
 
Ndio maana tunashauri watoto wanyonye hadi miaka 2 kwa mama zao. Sio mtoto unamkatisha anakwenda kunyonya kwa bibi yake tokea ana miezi 3. Madhara yake ndio haya sasa
Dah kwenu watoto wanakwenda kunyonya kwa bibi zao?Ndio maana mnakuwa walalamishi na wadekaji wakubwa.Kila jambo nyie ni kulalamika na kulialia tu. Malezi ya kwa bibi zenu.Komaa kamanda wacha kulialia.
 
Apeleke ugumba wake huko na yeye...
Angekua na kizazi angejua namna gani watoto wajao wakikua watakaa kwenye dimbwi la umasikini na maisha magumu ambayo hayana ulazima
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…