Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Firstlady1,Habari zilizotangazwa leo asubuhi na shirika la utangazaji TBC one na za uhakika zinasema Muigizaji Joti amepata ajali kwa kugongwa na gari la Ubalozi wa Ubeligiji ,Kavunjika shingo na yuko Hospital ya Moi pale Muhimbili ,More info please mnaweza kutuletea
![]()
Watatu kutoka kushoto
kwanti mamushka therengetitherengeti humjui yule muasisi wa mwendo na miondoko ulioleta tafrani hadi watoto watano wakafukuzwa shule kule kigoma kwa kuiga mwendo wake?
LOW............bado unang'ang'ania tu!Sema yule aliyeiga miondoko kutoka Tom & Jerry, yeye sio muasisi wa miondoko ile!
ooh Joti,namapa pole niyngi nikipata wasaa nitakwenda kumuona.
Mbona huamini mkuu, au unadhani shingo ipi? Vipi, hujarudi bado Estonia?kavunjika shingo?!!!!!!!!