Muigizaji Joti wa Ze Komedi apata ajali

Ni ajali ya kawaida kama ajali zingine.
 
Firstlady1,

Nimeongea na Mac Regan a.k.a Babu kwa njia ya simu ameniambia anaendelea vizuri na matibabu pale MOI. Shingo ndio imedhurika zaidi pamoja na Bega
 
kwanti mamushka therengetitherengeti humjui yule muasisi wa mwendo na miondoko ulioleta tafrani hadi watoto watano wakafukuzwa shule kule kigoma kwa kuiga mwendo wake?

Sema yule aliyeiga miondoko kutoka Tom & Jerry, yeye sio muasisi wa miondoko ile!
 
Ni muda muafaka kwa kundi hilo kuwa na mikakati ya usalama katika kazi zao. Namaanisha safety awareness wanapokuwa wanafanya kazi zao. Wazingatie usalama kabla na wakati wanafanya kazi zao maana wanaweza kuwa exposed to many safety issues.
 
atakuwa "jini manyonya" nini?
maana kwa ajali hiyo vijiweni kutakuwa hapashikiki na hiyo story itazidi kupata umaarufu na ukweli wa kuwepo huyo jini hapo salenda briji utakuwa proved na ajali ya joti

kaazi kwelikweli
 
hahahah maimai au na yeye kakumbwa na yule ombaomba,ohooo wamekasirika wenyewe sasa. pole joti weee. usirudie tena kuwaiga Mkono wa Manyoya.
 
Wakati fulani nilikuwa shabiki wake...lakini alipoaanza mambo ya utovu wa nidhamu kwa dada na watoto wetu wa kike kwa kisingizio cha kuigiza niacha kabisa hata kumwangalia...namtakia apone haraka.
 
Asante sana 1st Lady kwa taarifa. Tumwombee aweze kupata nafuu ya haraka!
 
Pole sana Joti, ndio gharama ya uselebriti, kila mahala utajadiliwa. Kuna kipindi iliwahi kuwekwa habari humu kwamba mmoja wao aliliwa tiGO na vijana wa mjini. Sijui ilikuwa kuwachafua au ndo kweli.
 
Pole sana kijana wa origino comedi,

Hiyo ni ajali kazini,wewe ni shujaa

Ulikuwa katika harakati za kutaka kufurahisha umma pamoja na washabiki wako,

We wish you quick recovery

Asante
Elisante Yona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…