Muigizaji Joti wa Ze Komedi apata ajali

RIP Joti!!

Sorry I meant to say .....Get well soon Joti wa Joti!
 


Duh, Kavunjika shingo, shingo ipi? Mungu amponye haraka!
 
Pole sna Joti jamni naombeni ni gari gani ilio mgonga maana niliwahi kufanya kazi huo Ubalozi, alikuwa dereva au mmoja wa madiplomat???
Asante FL kwa taarifa!
 
FirstLady, amevunjika shingo au amepata mshtuko wa shingo? mmhh!
 
Duu, huu ni mchanyato wa mambo kwani hata sala ya mtumishi KAKOBE, mara jini MANYOYA,
vyovyote vile pole kwa mkasa huo joti.
 
Maskini Asha wangu. Mh, pona haraka mwaya. Jamani naombeni mwenye uwezo awe anatuwekea clip za Komedi, sijui utaratibu wa haki miliki unakuwaje hapo. Manake huwa namiss sana vituko vyake.

Halafu kweli hawa watu ni vichwa, eti Masanja anasema mnashangaa nini mbona ana manyoya mengi tu miguuni?!
 
TBC walionyesha ile ajali, inaelekea aligongwa 'KIJOTIJOTI' utadhani labda ilikuwa sehemu ya igizo.
 
FirstLady, amevunjika shingo au amepata mshtuko wa shingo? mmhh!

habari hii niliitoa kama nilivyoipata pale TBC one sikuongeza wala kupunguza na ndo maana niliaja jukwaa liendelee kuleta mora info JosM
 
habari hii niliitoa kama nilivyoipata pale TBC one sikuongeza wala kupunguza na ndo maana niliaja jukwaa liendelee kuleta mora info JosM

Nadhani ameumia maeneo ya kwenye shigo! kuvunjika ni habari pevu
 
Pole sana Joti, ndio gharama ya uselebriti, kila mahala utajadiliwa. Kuna kipindi iliwahi kuwekwa habari humu kwamba mmoja wao aliliwa tiGO na vijana wa mjini. Sijui ilikuwa kuwachafua au ndo kweli.


What!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…