Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi

Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi

Alikuwa anakwepa/kukimbia waandishi wa habari asipigwe picha wala kuhojiwa...

Cc: mahondaw
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mb zangu zimeisha kidwanzi sana leo....... Hii kesi ni kupoteza mda wa watu sijui ni kwanini hadi mda huu haijafutwa keendelea na kesi nyingine za muhimu
 
Mb zangu zimeisha kidwanzi sana leo....... Hii kesi ni kupoteza mda wa watu sijui ni kwanini hadi mda huu haijafutwa keendelea na kesi nyingine za muhimu
Kwanini unahisi hii kesi siyo muhimu? Maisha ya mtu yamepotea hapa na hatuwezi kumuhukumu mtu bila kuwa na hatia? The wrath of law will always go to the guilty Parties and not the innocent partes.
 
Back
Top Bottom