Lorenzo1
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 530
- 641
hadi sasa lulu ni jasiri, anapitia mitihani mikubwa katika umri mdogo, ashakomaa kiakili
me naona Hapitii mitihanii...kwa maana ayo yte ameyatafuta mwenyewe....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadi sasa lulu ni jasiri, anapitia mitihani mikubwa katika umri mdogo, ashakomaa kiakili
Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
Anakula mvua za kutosha!Sijaona Kesi hapo
Ina maana huyo mama alikubali kijana wake marehemu kudate na mtoto mdogo.?
Au ndio kusema ule msemo wa mtoto wa mwenzio ni mkubwa mwenzio?
LAKINI LIKITOKEA JAMBO ZITO KILA MMOJA ANAANGALIA MASLAHI NA HESHIMA YAKE INAKUAJE?
NAJIULIZA KWANINI MAMA WA MAREHEMU AKUMWAMBIA KIJANA WAKE AOE MTU MWENYE UMRI KARIBA LAKE /KUPELEKA KISHIKA UCHUMBA KWA FAMILIA YA MTUHUMIWA ILI PAWEPO NA NIA KWA PANDE MBILI?
Ni vema mahakamani ikawachunguza vizuri wazazi wa pande mbili, kwani kuna kitu kinaweza saidia maamuzi.
exactly u make my day,Oscar alikuja kuhukumiwa kaua baada ya ripoti nyingi za kitaalamu ambazo katika kesi hii hakuna hata moja,inayoelezea kwa kina nini kilitokea pale,sijaona mwendesha mashitaka akileta mahakamani vielelezo vya kesi,kumbuka kesi ya OSCAR mfano wa ile choo ililetwa mahakamani na wataalam walichambua nini hasa kinawezekana kilitokea ile alfajiri ya tukio,profile foresinc report hamna,tabia ya Kanumba (RIP) hamna ,historia yake kama alikuwa ni mtu mwenye HAMAKI au MPOLE hamna ,hizi mahakama bado zinafanya kazi kama miaka ya 47;Hi case ya LULU nionavyo ni PARI MATERIAL na case ya OSCAR PRITORIOUS na mahakama ingetumia hukumu hiyo kama PARSUASIVE AUTHORITY wangefikia haki
Uzuri wa hiyo kesi ilikuwa inaonyeshwa live hivyo wafukunyungu wa mambo ya kisheria tulikuwa tunapata raahaa mustarehe kama ilivyokuwa kesi ya akina UHURU /RUTTO huko ICC. Hapa bongo hairuhusiwi kuingia na camera mahakamani na kurecord case sasa sijui hii notion ya "OPEN COURT" wasomi hawa ambao kila siku wanapishana kwenye corridors za mahakama ma masuti meusi ya kutisha hawalioni hili?exactly u make my day,Oscar alikuja kuhukumiwa kaua baada ya ripoti nyingi za kitaalamu ambazo katika kesi hii hakuna hata moja,inayoelezea kwa kina nini kilitokea pale,sijaona mwendesha mashitaka akileta mahakamani vielelezo vya kesi,kumbuka kesi ya OSCAR mfano wa ile choo ililetwa mahakamani na wataalam walichambua nini hasa kinawezekana kilitokea ile alfajiri ya tukio,profile foresinc report hamna,tabia ya Kanumba (RIP) hamna ,historia yake kama alikuwa ni mtu mwenye HAMAKI au MPOLE hamna ,hizi mahakama bado zinafanya kazi kama miaka ya 47;