Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
Weka maelezo mkuu. kinachomkimbiza nini???Muigizaji Lulu Atimua Mbio Mahakamani | Baba Yake Ageuzwa Mlinzi
Pari materia.mkuuu,,mkuuuu?Hi case ya LULU nionavyo ni IMPARI MATERIAL na case ya OSCAR PRITORIOUS na mahakama ingetumia hukumu hiyo kama PARSUASIVE AUTHORITY wangefikia haki
A sante mkuu kwa kunisahihisha, tayari nime ammend original postPari materia.mkuuu,,mkuuuu?
Poa,think you are either in the making or full learned brodaA sante mkuu kwa kunisahihisha, tayari nime ammend original post
Kwanini unahisi hii kesi siyo muhimu? Maisha ya mtu yamepotea hapa na hatuwezi kumuhukumu mtu bila kuwa na hatia? The wrath of law will always go to the guilty Parties and not the innocent partes.Mb zangu zimeisha kidwanzi sana leo....... Hii kesi ni kupoteza mda wa watu sijui ni kwanini hadi mda huu haijafutwa keendelea na kesi nyingine za muhimu
Sema huna mbs baba yake na lulu kasema kwny video akiwaambia waandishi kwmba leo hakuna kupiga picha.Jazia jazia nyama.
Sema huna mbs baba yake na lulu kasema kwny video akiwaambia waandishi kwmba leo hakuna kupiga picha.
Nimepewa ridhaa na JF Wi-Fi