Muigizaji maarufu nchini India,Kareena Kapoor asilimu awa Mwislamu

Muigizaji maarufu nchini India,Kareena Kapoor asilimu awa Mwislamu

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Muigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu.
Pia ni ndugu yetu katika Imaan.
Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya haki(Uislamu),Inshaallah.
1478546909464.jpg

Kareena Kapoor mwanadada wa india, Muigizaji.
 
Muigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu.
Pia ni ndugu yetu katika Imaan.
Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya haki(Uislamu),Inshaallah.
View attachment 430637
Kareena Kapoor mwanadada wa india, Muigizaji.
Acha uongo, haja hama kwenye hinduism na hana huo mpango

Halafu ndugu zako ni sisi weusi wenzako hata kama tukiwa wakristo au waislam.
 
Hivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.
 
Hakuna ulevi mbaya duniani kama kulewa dini.

Suala la DINI ni kitu binafsi. Nadhani ni jambo jema kutoingilia masuala binafsi.

Nothing is good or bad but your thinking make it so
 
huyu Dada ameoloewa na Saif ally khan

nafkiri mwanzo walifunga ndoa ya serikali au Hindu..
So kaamua kumfuata mumewe amabae ni muislamu!
 
Hivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.
Haichukuliwi hivyo na watu wote

Wako wengi wanaithamini na kuiona ndiyo dini ya haki

Na wenye kuamini hivyo ndio wanaitana ndugu. Hata Mwarabu hasaa wa Saudi Arabia na Mmakonde wa Tandahimba ni ndugu kuliko mmakonde wa Tandahimba na wa Nailinjilinji.

Waarabu na Wazungu walituweza hapa kwenye dini aicee. [emoji23]
 
Back
Top Bottom