Muigizaji maarufu nchini India,Kareena Kapoor asilimu awa Mwislamu

Muigizaji maarufu nchini India,Kareena Kapoor asilimu awa Mwislamu

Kwa sababu wenye kukufuru wanauogopa ukweli.

Wale wasiopenda kukufuru wanausoma Uislam na wanaingia makundi kwa makundi kama uonavyo.

Vipi wewe?
Nachomaanisha watu huuchukia au kuuchukulia vibaya uislamu tofauti na uislamu wenye ulivyo.
 
Siku zote shetani huipinga haki/kweli ya mungu....kila mwenye kuipinga haki huyo yuko upande wa shetani.....krb ktk uislamu kareena kapoor....watakao chukia hao wako upande wa shetani mana yeye anaichukia haki/uongofu
 
hata kama kaenda wapi.

ila hakuna muigizaji atakaye ingia mbinguni.
[HASHTAG]#Aisee[/HASHTAG]
 
Naona shetani anazidi kurudi alikotoka maana wahuni wengi wanakimbilia huko
 
Hivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.
Kwa sababu ni dini ya WAUAJI
 
Kwa sababu ni dini ya WAUAJI
Kwa mitazamo ya watu juu ya uislamu kama huo wako, ndiyo maana inapotokea mtu maarufu kama huyo kuingia kwenye uislamu inakuwa ni jambo kubwa.
 
Kaolewa na muislamu Saif Ali, hivyo sishangai. Halafu ana mimba lazima ajifinike!
 
Acha uongo, haja hama kwenye hinduism na hana huo mpango

Halafu ndugu zako ni sisi weusi wenzako hata kama tukiwa wakristo au waislam.
Mafundisho ya dini ya kiislam yanasema muislam ndugu yake ni muislam mwenzie
 
Mafundisho ya dini ya kiislam yanasema muislam ndugu yake ni muislam mwenzie
Namshukuru Mungu sana kuwa mkristo sana sana.Sijaona dini inaniambia mpende huyu sio huyu.Hiyo ni dini na sio Mungu Dah!!!!Ndugu zangu dini itabaki kua utambulisho tu mwisho wa siku ni wewe na Mungu na uliyoyatenda kama ni ya Mungu au la sio dini gani maana Mungu ni wa wote achen ubinafsi maandazi eti dini ya haki mngechinjana ?Za kuambiwa changanya na za kwako kha una macho hata huoni?
 
Back
Top Bottom