Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Acha uongo kareena haja silimu wala niniMuigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu.
Pia ni ndugu yetu katika Imaan.
Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya haki(Uislamu),Inshaallah.
View attachment 430637
Kareena Kapoor mwanadada wa india, Muigizaji.
Acha uongo, haja hama kwenye hinduism na hana huo mpangoMuigizaji maarufu nchini India Kareena Kapoor asilimu,Sasa hivi ni Mwislamu.
Pia ni ndugu yetu katika Imaan.
Allah amfanyie wepesi ili aishi katika misingi ya Dini yetu ya haki(Uislamu),Inshaallah.
View attachment 430637
Kareena Kapoor mwanadada wa india, Muigizaji.
Acha uongo, haja hama kwenye hinduism na hana huo mpango
Halafu ndugu zako ni sisi weusi wenzako hata kama tukiwa wakristo au waislam.
Msannii mkubwa wa India km alivyo Halle berry au Kate moss USANi nani huyu??
Mbona mgeni??
Kwa nini aanzishiwe uzi kabisa JF kwa ishu zake binafsi??
Ngoja na mimi nianzishe uzi nimenunua li bata mzinga kuubwa kwa ajili ya kuchinja Krismasi ijayo.
Au kama Wema Sepetu wa Bongo[emoji38][emoji38]Msannii mkubwa wa India km alivyo Halle berry au Kate moss USA
siku nyingine uweke simu chaji
Haichukuliwi hivyo na watu woteHivi kwanini dini ya uislamu inachukuliwa tofauti sana na dini zengine,yani watu hata ile kutaka kujua tu kuna nini kwenye mafundisho ya uislamu hawataki ni tofauti na ukristo ambao hata wasioamini mungu utakuta wanajua biblia vizuri tu.