Alicheza Tanzania ya Viwanda!Movie gani amecheza?
Hizi tuzo Sometimes Ni kutangaza makampuni ya watu tu
Hamna lolote
FactMfano ukiangalia tuzo zilizotolewa za sinema zetu zilikuwa zinatangaza kampuni ya azam tu
Hizo tuzo hazina uhalisia wowote
Afadhali, usije ukapigwa ban ya maisha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja niache tu kuandika nilicholenga.
Hongera monalisa wenye wivu wajinyongeBest Female Movie Star Africa - Yvonne Cherry (Monalisa)
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika
Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia leo katika mji wa Accra huko nchini Ghana
View attachment 745061
Kwa movie gan!?We waache watu wapate haki yao.