Muigizaji Monalisa ashinda tuzo ya Msanii Bora wa Kike Afrika

Nimesoma mahali ati Lupita N'yongo nae alikuwa kwa hiyo category ila kapigwa chini..[emoji2] [emoji2]

Hizi tuzo uchwara
 
Hiyo ' Tuzo ' hivyo alivyoilalia hapo Pichani mpaka akiamka na aje nayo Dar es Salaam Tanzania si itakuwa imelowana sana na Maudenda ya usingizi?
 
Hivi hiyo category "best female movie star Africa" ina maana kawashinda kina Omotola,Mery Johnson,Genevieve????

Hiyo tuzo uchwara aisee
"Lupita" umemshau Mkuu. Wote hao kapiga chini.!!!
 
Toto Dike
Jack Appiah
Omotola Jalade
Mercy Johnson
Patience Ozokwor
Ngozi Ezewonu
Stella Damasius
Chioma Chukwuka Akipom
etc
May be, Tanzanians in Ghana awards
Lupita pia ongeza hapo
 
Pointi
 
Pointi tena haina "less" mbele
 
Hiyo ' Tuzo ' hivyo alivyoilalia hapo Pichani mpaka akiamka na aje nayo Dar es Salaam Tanzania si itakuwa imelowana sana na Maudenda ya usingizi?
hahahahha we nawe huwaga ni mshenzi daah.. sijui hata nilitaka nicomment kitu gani
 
Africa nzima Mkuu ni vichochoroni??. Nyeusi tuseme ni nyeusi na nyeupe ibaki nyeupe, ni maoni yangu lakini
Wewe umesikia wameshindanishwa lini na kina nani?
Asingechukua hiyo tuzo nahis hata usingejua kama kuna hizo tuzo na nani kashinda
 
Monalisa u deserve better baby ..hapa alipokuwa akiwasiri wema ampokea kwa kishindo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…