Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah Ommy G, hii ngoma ilikua balaa,Free Dogs Camp daah,hv ipo ktk YouTube kweli nadhani haipo ilikua na mistarii yakibishi aiseeGK alifanana nae tu sura, but kibongo bongo aliekua akimpatia DMX ni mshikaji mmoja aliitwa Ommy G.
Tafuta wimbo wa Kindumbwe ndumbwe akiimba na Pig Black. Nyimbo yoyote ya Free Dog Camp (FDC) usikie michano ya Ommy G
Sasa unampaje pole hayati? Ndio tatizo la kaya za msamvuPole yake
Sasa unampaje pole hayati? Ndio tatizo la kaya za msamvu
Umemsahau ommy G. Mzee wa Choo cha kike.DMX alikuwa inspiration kwa rappers wengi enzi hizo, kwa hapa Bongo watu kama Kalapina, D-Knob walikuwa wanarap kama huyu mwamba