screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Apr 14, 2021 #201 DMX alikuwa inspiration kwa rappers wengi enzi hizo, kwa hapa Bongo watu kama Kalapina, D-Knob walikuwa wanarap kama huyu mwamba
DMX alikuwa inspiration kwa rappers wengi enzi hizo, kwa hapa Bongo watu kama Kalapina, D-Knob walikuwa wanarap kama huyu mwamba
Wa Katutura JF-Expert Member Joined May 5, 2019 Posts 366 Reaction score 450 May 1, 2021 #202 Shark said: GK alifanana nae tu sura, but kibongo bongo aliekua akimpatia DMX ni mshikaji mmoja aliitwa Ommy G. Tafuta wimbo wa Kindumbwe ndumbwe akiimba na Pig Black. Nyimbo yoyote ya Free Dog Camp (FDC) usikie michano ya Ommy G Click to expand... Yaah Ommy G, hii ngoma ilikua balaa,Free Dogs Camp daah,hv ipo ktk YouTube kweli nadhani haipo ilikua na mistarii yakibishi aisee
Shark said: GK alifanana nae tu sura, but kibongo bongo aliekua akimpatia DMX ni mshikaji mmoja aliitwa Ommy G. Tafuta wimbo wa Kindumbwe ndumbwe akiimba na Pig Black. Nyimbo yoyote ya Free Dog Camp (FDC) usikie michano ya Ommy G Click to expand... Yaah Ommy G, hii ngoma ilikua balaa,Free Dogs Camp daah,hv ipo ktk YouTube kweli nadhani haipo ilikua na mistarii yakibishi aisee
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,128 Reaction score 21,885 May 1, 2021 #203 Dalmine said: Pole yake Click to expand... Sasa unampaje pole hayati? Ndio tatizo la kaya za msamvu
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,591 Reaction score 6,946 May 13, 2021 #204 donlucchese said: Sasa unampaje pole hayati? Ndio tatizo la kaya za msamvu Click to expand... Mtu kama huyo sio wa kumsikitikia, ndio maana sijatoa pole. "Pole yake"
donlucchese said: Sasa unampaje pole hayati? Ndio tatizo la kaya za msamvu Click to expand... Mtu kama huyo sio wa kumsikitikia, ndio maana sijatoa pole. "Pole yake"
Samcezar JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 13,095 Reaction score 22,731 May 13, 2021 #205 screpa said: DMX alikuwa inspiration kwa rappers wengi enzi hizo, kwa hapa Bongo watu kama Kalapina, D-Knob walikuwa wanarap kama huyu mwamba Click to expand... Umemsahau ommy G. Mzee wa Choo cha kike.
screpa said: DMX alikuwa inspiration kwa rappers wengi enzi hizo, kwa hapa Bongo watu kama Kalapina, D-Knob walikuwa wanarap kama huyu mwamba Click to expand... Umemsahau ommy G. Mzee wa Choo cha kike.