Muigizaji pekee ninayempenda Michele Rodiguez ambaye anafanya kazi yake vizuri kufikia kiasi cha kunivutia kuwa karibu nae

Haahaaahaaaaaa...
Nimefurahi jinsi ulivyotafsiri majina ya hizo filamu alizoigiza huyu manzi.
Mimi alinifurahisha sana kwenye resident evil(uovu wa makazi)!..
Haa haaaaaa...
 
Bila shaka tafsiri ni kwa msaada wa google ama facebook...kuna sehemu kama simpati pati mwandishi. Ni kama audio clip moja ya jamaa anaongea vitu visivyoendana...
Niambie we professional yako ni ipi
 
Hata mimi hapo nikifika kwa wazungu na tabia zao nachoka mwanamke mzuri kama huyu eti ni lesbian dah angekuwa karibu yangu ulesbian ungeisha mapema angebadilisha stori ya maisha yake
[emoji3][emoji3] kwani wazungu wameshindwa kuwarekebisha?
 
[emoji3][emoji3] kwani wazungu wameshindwa kuwarekebisha?
Ndio mkuu angalia kwanza life style zao kama za wanaume wa dar vile halafu ukizingatia alizaliwa kwenye mazingira ya jeshini na kulelewa na mama ake akiwa wa kipekee inaonekana malesbian huwa kuna kitu huku nyuma kime waathili wae hivyo
 
Vip mkuu na wew iris za blue zinakuchanganya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mwanzoni zilikuwa zinanikogopesha maana kuna binadamu na reptile ni kuwa makini maana unaweza kuta wengine usiku wana waka sana
 
Mwanzoni zilikuwa zinanikogopesha maana kuna binadamu na reptile ni kuwa makini maana unaweza kuta wengine usiku wana waka sana
Lazima ziogopeshe mkuu maana mtaani hyo kitu huwa very rare ila kwa kawaida mtoto wa kike inamuongezea mvuto flani amazing.
Kuna kitoto kimoja mtaani kwetu kinayo hyo kitu pure kabisa hadi kamekua maarufu.
 
Huyu nilimuona kwenye fast and furious
Daah kana mwili mzuri kweri
Alafu ni mrembo kumbe kanatamani kuwa mwanaume๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
 
Tony-st87485 said:
Huyu nilimuona kwenye fast and furious
Daah kana mwili mzuri kweri
Alafu ni mrembo kumbe kanatamani kuwa mwanaume๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿคฌ๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ 
Ndio hata mimi kananishangaza licha ya umri mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ