Halafu wakaka wanaocheezaga basket huwa ma handsome!halafu huwa wana swagg za mbele yaanii
Hahahahah wakaka wanaochezaga draft hapanaMnhh....na sisi tunaocheza draft je?
Hahahahah wakaka wanaochezaga draft hapana
Kwanza wanakunywaga kahawa [emoji28][emoji28][emoji28]ukiwaangalia midomoni meno yao meusiii[emoji28][emoji28]nyie mna swagg za sitimbi au chato[emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha hapana kushneiHujui tu....njoo utujaribu wa draft na bao...
ushangae....
Hahaha nimecheka jamani. Unanikumbusha enzi zangu za ujana shule na rafiki zangu. Yani likizo ile ukipata new friends, kama anacheza basket ndo urafiki unanoga mapema. Tulikuwa tunaassume mkaka anayecheza basket ni mrefu, good looking, swagga fulani amazing mweeeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]Halafu wakaka wanaocheezaga basket huwa ma handsome!halafu huwa wana swagg za mbele yaanii
Hahahahahaha ni kweliHahaha nimecheka jamani. Unanikumbusha enzi zangu za ujana shule na rafiki zangu. Yani likizo ile ukipata new friends, kama anacheza basket ndo urafiki unanoga mapema. Tulikuwa tunaassume mkaka anayecheza basket ni mrefu, good looking, swagga fulani amazing mweeeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
Umkute anaenda uwanjani, kuna style yao fulani hivi ya wanabebaga mipira [emoji85] [emoji85] , mmh jamani nashukuru nimezeeka salama tehHahahahahaha ni kweli
Mm pia nawaonaga wakaka flan hv amazing
Wakishua hahaha halafu wakivaa zile pensi zao aaaaa
Haha halafu The Boss anasema wacheza draft nawenyew wanaswagg[emoji28][emoji28]
TupoooooAlways hua ni mahandsome halaf wanajua ku........
Hhahahahaa we acha tu haahaha kahawa tupa kuleeeUmkute anaenda uwanjani, kuna style yao fulani hivi ya wanabebaga mipira [emoji85] [emoji85] , mmh jamani nashukuru nimezeeka salama teh
Wacheza draft swagga za kahawa na kashata
Ha ha draft Ni wezi kwa kuiba kete shangaa uoneMnhh....na sisi tunaocheza draft je?