Muigizaji Rammygalis

Muigizaji Rammygalis

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Mi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa
Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe
1474009887020.png
1474009911908.png
1474009935652.png
masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani anaumiliki sasa eti geniveros shunie warumi
 
Halafu wakaka wanaocheezaga basket huwa ma handsome!halafu huwa wana swagg za mbele yaanii
Hahaha nimecheka jamani. Unanikumbusha enzi zangu za ujana shule na rafiki zangu. Yani likizo ile ukipata new friends, kama anacheza basket ndo urafiki unanoga mapema. Tulikuwa tunaassume mkaka anayecheza basket ni mrefu, good looking, swagga fulani amazing mweeeee. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
 
Hahahahahaha ni kweli
Mm pia nawaonaga wakaka flan hv amazing
Wakishua hahaha halafu wakivaa zile pensi zao aaaaa
Haha halafu The Boss anasema wacheza draft nawenyew wanaswagg[emoji28][emoji28]
 
Umkute anaenda uwanjani, kuna style yao fulani hivi ya wanabebaga mipira [emoji85] [emoji85] , mmh jamani nashukuru nimezeeka salama teh

Wacheza draft swagga za kahawa na kashata
 
Hhahahahaa we acha tu haahaha kahawa tupa kuleee
 
Back
Top Bottom