Muigizaji Rammygalis

jaman sie wa kubeti mbna mmetusahau??? ina maana sie sio kama hao wengine ngoja nimpige muhind weekend hii mtatoa heshima tu
 
Ila rammy alimpenda masogange kuna siku mdada alimuweka insta akaandika MCM uwiiii acha aende kwenye page ya yule dada utanigombanisha na mpenzi wangu hawez nielewa akiona ivyo atajua mm na ww wapenzi [emoji28]watu wacha wamvae wakamwambia acha ushamba amekuweka tu
 
Ahahahahahah ,anaonekana hua anapelekeshwa na wanawake ,na akipenda anasahau vyoteee
 
Ahahahahahah ,anaonekana hua anapelekeshwa na wanawake ,na akipenda anasahau vyoteee
Yaan anaonekana hivyo alikua analia lia kwenye page yake akigombana na masogange
 
@Wembeke naomba hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…