Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahahahah ,anaonekana hua anapelekeshwa na wanawake ,na akipenda anasahau vyoteeeIla rammy alimpenda masogange kuna siku mdada alimuweka insta akaandika MCM uwiiii acha aende kwenye page ya yule dada utanigombanisha na mpenzi wangu hawez nielewa akiona ivyo atajua mm na ww wapenzi [emoji28]watu wacha wamvae wakamwambia acha ushamba amekuweka tu
wewe njoo maeneo yetu ya kujidai jumamos utakubal tu mwenyeweEhehehehehh ngoja nianze kuwachunguza bana
Yaan anaonekana hivyo alikua analia lia kwenye page yake akigombana na masogangeAhahahahahah ,anaonekana hua anapelekeshwa na wanawake ,na akipenda anasahau vyoteee
njoo pm unione physically....laaaaivuuuuuu bila chengaHalafu wakaka wanaocheezaga basket huwa ma handsome!halafu huwa wana swagg za mbele yaanii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Karibu mwayaHaya ntakuja bebe
Hahahhh wa kukulilia ili uwapelekeshe vizuriHeheheh basi nawapenda wanaume wa hivyoo ahhaahah
Hahahahaa mmh hilo jina lako linanipa mashaka haahahanjoo pm unione physically....laaaaivuuuuuu bila chenga
Ni nna duuuunda kikapu Le Bron anakaa, sema sipo mbele tu
Hahahhh mm siwataki ningekua nacheka kila sikuEee ukimtisha kidogo tu analia [emoji23][emoji23][emoji23]