Muigizaji Rammygalis

ni handsome.....mguu wa kuvalia bukta upo.

wakati niko arusha...jioni naenda chuo cha uhasibu nakutana na wacheza basket........dah kuna mmoja alikuwa handsome huyo.....Mungu ananiona nilivyoshindwa kumvumilia.
 
Eheeee ikawajee jamanii
 
Tuchukueni wacheza kamari chafu tatu, we unataka mtu ambaye mnafanana nae bn hata hajulikani nani mwanaume nani mwanamke
 
Why you take off my heart? Sio siri you let me down wewe upo moyoni mwangu since way back lakini leo mwenzangu unamuwaza huyo sharobaro wala hana lolote hato kusaidia chochote
 
Asa mbona hujawah niambia?halaf mimi kuna sehemu nimesema nampenda ramy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…