Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Anavutia sanaHuyu jamaa yupo njema.... Mzuri sana anavutia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anavutia sanaHuyu jamaa yupo njema.... Mzuri sana anavutia
Hehe nyie na wacheza football hapanasisi wacheza draft pia ni watu
mtukumbuke tunavyosukuma kete
Leo kila mtu humu anatasema mcheza kikapu.njoo pm unione physically....laaaaivuuuuuu bila chenga
Ni nna duuuunda kikapu Le Bron anakaa, sema sipo mbele tu
Ah hahahahahaaaaa hadi wacheza mdako na rede leo watakuwa wanajua kikapuLeo kila mtu humu anatasema mcheza kikapu.
Eheeee ikawajee jamaniini handsome.....mguu wa kuvalia bukta upo.
wakati niko arusha...jioni naenda chuo cha uhasibu nakutana na wacheza basket........dah kuna mmoja alikuwa handsome huyo.....Mungu ananiona nilivyoshindwa kumvumilia.
Hahaaa ukiwapeleka ground ni full walking na madouble tribo ya kutosha.Ah hahahahahaaaaa hadi wacheza mdako na rede leo watakuwa wanajua kikapu
Hahaa. Lazima alitelezeshewa chatu.Eheeee ikawajee jamanii
Why you take off my heart? Sio siri you let me down wewe upo moyoni mwangu since way back lakini leo mwenzangu unamuwaza huyo sharobaro wala hana lolote hato kusaidia chochoteMi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa
Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe View attachment 401267View attachment 401269View attachment 401270 masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani anaumiliki sasa eti geniveros shunie warumi
Asa mbona hujawah niambia?halaf mimi kuna sehemu nimesema nampenda ramy?Why you take off my heart? Sio siri you let me down wewe upo moyoni mwangu since way back lakini leo mwenzangu unamuwaza huyo sharobaro wala hana lolote hato kusaidia chochote
hahahahahahaMnhh....na sisi tunaocheza draft je?
nami nikawa nafundishwa kucheza....mpaka tukawa marafiki......hayo mengine tuyaache.Eheeee ikawajee jamanii