Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafaa kwa mAtumiz ya binadamu
Ha ha draft Ni wezi kwa kuiba kete shangaa uone
Of course mie kila baada ya kazi unanikuta uwanjani!Mabibo hostel pale weekend ndii balaa Saturday hii ukujeRealy?unajua kudunk????
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16] jamani anajaa ng'ombe!mie Niko wastani banduguOooh umejaa jaa lakini ?maana siwezi kuja kuangalia kimbaumbau uwanjani mie
Hahahha kapoooooYaan kuna umbile flan hiv la mazoezi mikono imejikata kias ,kwaajili ya mazoezi ka kifua kakuvalia tisheti kapoo?
Umeonaeee unazuga cheki kile akigeuka beba ketendo wazuri wataiba kukuhakikisha una win...
Asante my wiii huenda wameenda dodoma na msafara WA wakuuu ....msafara WA mamba kumbuka kenge lazima awepo kunogeshaNimekumiss jamaniii ,,kim nana hata sijui yupo wapi jamani ,lakin karibu my dia[emoji8][emoji8][emoji8]
Haijajulikana bado mmiliki wa sasa kutwa kucomment kwa wadada wenye mizigo insta wamfate dm [emoji28]Mi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa
Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe View attachment 401267View attachment 401269View attachment 401270 masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani anaumiliki sasa eti geniveros shunie warumi
Malizia bana dina kufanyaje [emoji134]Always hua ni mahandsome halaf wanajua ku........
sisi wacheza draft pia ni watuUmkute anaenda uwanjani, kuna style yao fulani hivi ya wanabebaga mipira [emoji85] [emoji85] , mmh jamani nashukuru nimezeeka salama teh
Wacheza draft swagga za kahawa na kashata