Hapa napingana na wewe kwamba mtoto anajua kuliko mzee wake na hujaziona filamu zake nyingine..
Kacheki muvi zake hizi YouTube; Bobby (1973), Kabhi Kabhie(1976), Karz(1980), Hum Kisise Kum Naheen(1977) na Zamane Ko Dikhana Hai(1981) uone moto ujanani mwake.
Hapana! Amrish poor alifariki tangu 2005Hivi huyu ndo tukimuita,Amrish Kapoor?
Acha kabisa yaani toka Jana siye watu wa Bollywood tuna misiba kutoka Irfan Leo Chintu jii is no more...Kusingekua na lock down India Leo ingetikisa dunia kwa kweli yaani huyu baba jamani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uyu ndo kwenye muvi za RUFUFU alkua anaigiza Kama katiri fulani anaimuita AMRISHA PULU?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi za kihind website gan naweza downloadRanbir ni noma anajua dogo!hakoseagi yaani Katafute Ae Dil Mushkil!nooomaaa
Hivi uyu ndo kwenye muvi za RUFUFU alkua anaigiza Kama katiri fulani anaimuita AMRISHA PULU?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio walikuwa miamba ya bollywood hapa neetu Singh yaani mule mule ukianzia zeenat aman hapa hema malin kule shaban azim minaksh reena Roy haya yalikuwa maua ya bollywood
Ranbir ni noma anajua dogo!hakoseagi yaani Katafute Ae Dil Mushkil!nooomaaa
Amewaacha wenzie kina Govinda!
Duh
Shukran siku zimekuwa nyingi ndugu yangu waqt sijui umekwenda wapi!
Vyuma vilikuwa vingi rekhash roshan,sridavi hapo aruna irani bila kumsahau meenaksh moto ulikuwepo
Wakati UKUTA mkuu,,,,ukishindana nao utaumia mwenyewe....nakumbuka hizo picha nilikuwa naangalia KWENYE CINEMA HALL. ,baada ya cinema hall kufa miaka ya 88 nikawa bingwa wankuangalia video kwa WAARABU Fulani pale Morocco hotel magomeni..nakumbuka ILIKUWA tunalipa 10 shilling kwa movie moja....aisee siku hazigandi mkuu...ILIKUWA tunaangalia movie za kihindi MAADUI KATILI kama DENI ZOMPA,,,KADER KHAN,,AMJED KHAN,,SHAKTI KAPOOR,,AMRISH POOR,,PRAN CHOPRA,,,hao watu wakiigiaza ADUI ni NYOKO MKUU.. sasa ufurahi ADUI awe AMJED KHAN,,staring AMITAH BACHAN....au ADUI awe AMRISH POOR star awe DHARMENDRA..lazima afe na ADUI...siku hizi madirector sijuwi wamekwenda wapi,, siwaelewi picha zao,,,ENZI HIZO LAZIMA USIKIE haramsadeeeeee..,....ujuwe star mmoja anakufa na ADUI...Shukran siku zimekuwa nyingi ndugu yangu waqt sijui umekwenda wapi!
Vyuma vilikuwa vingi rekhash roshan,sridavi hapo aruna irani bila kumsahau meenaksh moto ulikuwepo