Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Hapa napingana na wewe kwamba mtoto anajua kuliko mzee wake na hujaziona filamu zake nyingine..
Kacheki muvi zake hizi YouTube; Bobby (1973), Kabhi Kabhie(1976), Karz(1980), Hum Kisise Kum Naheen(1977) na Zamane Ko Dikhana Hai(1981) uone moto ujanani mwake.

Mkuu kuna na Damini (1993), Chandini (1989)
 
Shukran siku zimekuwa nyingi ndugu yangu waqt sijui umekwenda wapi!
Wakati UKUTA mkuu,,,,ukishindana nao utaumia mwenyewe....nakumbuka hizo picha nilikuwa naangalia KWENYE CINEMA HALL. ,baada ya cinema hall kufa miaka ya 88 nikawa bingwa wankuangalia video kwa WAARABU Fulani pale Morocco hotel magomeni..nakumbuka ILIKUWA tunalipa 10 shilling kwa movie moja....aisee siku hazigandi mkuu...ILIKUWA tunaangalia movie za kihindi MAADUI KATILI kama DENI ZOMPA,,,KADER KHAN,,AMJED KHAN,,SHAKTI KAPOOR,,AMRISH POOR,,PRAN CHOPRA,,,hao watu wakiigiaza ADUI ni NYOKO MKUU.. sasa ufurahi ADUI awe AMJED KHAN,,staring AMITAH BACHAN....au ADUI awe AMRISH POOR star awe DHARMENDRA..lazima afe na ADUI...siku hizi madirector sijuwi wamekwenda wapi,, siwaelewi picha zao,,,ENZI HIZO LAZIMA USIKIE haramsadeeeeee..,....ujuwe star mmoja anakufa na ADUI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswa mkuu,,,picha ya kihindi zamani MASAA 3..lazima star aanzie mdogo...Bonge la movie kama AMAR AKBAR ANTONY...amita bachan,,,rish KAPOOR na mmoja nimesahau....wanazaliwa halafu wanapoteana wakiwa WADOGO,,kila mtu analelewa kivyake..baadae wanazinguana kumbe ndugu..wanakumbukana....hayo masongi ni NYOKO..na hizo HARAMSADEE...ndy komesha
Vyuma vilikuwa vingi rekhash roshan,sridavi hapo aruna irani bila kumsahau meenaksh moto ulikuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom