Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Vinod khana hakuwa ADUI,,alikuwa ni star...walikuwapo VINOD KHANA,,NA FEROZ KHANA ni ndugu kabisa,,...kuna picha moja ya mwaka 1987 inaitwa. JAN BAAZ..FEROZ KHANA,,NA ANIL KAPOOR,,,huku wakimshirikisha MREMBO DIMPLE KAPADIA...FEROZ KHANA alifanya VYEMA sana...
Alikuwepo Vinod Khanna amekufa Mwanawe anaitwa Akshay Khanna hajui kama baba yake lakini!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wahindi maisha yao hayana tofauti na WAAFRICA,, humo Bollywood wamejazana madarictors WAHUNI KWA NGONO,,na wenye majina makubwa,,,hupati nafasi ya kucheza movie kama HUTAKI KUGEGEDWA,,au uwe na JAMAA ZAKO HUMO NDNI..mfano hao akina KAPOOR,, KHAN,,SHETTY,,BACHACHAN,, baba zao au uncle zao ni nguli wa Bollywood... Ndy maana wanapenya kirahisi,,,wengine ukubali KULIWA...na wanawala kweli watoto wazuri na nafasi bado hawapati.
RiP legend

Ila Bollywood huwa inanifikirisha sana

Ukiwa na haya majina mawili

Kapoor
Khan

Ni rahisi kutusua kule

Mengine ni

Shetty
Kumar
Bachanan



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mimi wahindi bwana ndo starehe yangu kwa sasa kwenye movie wazungu niliwagaya hawana maadili unaangalia movie Mara paap wanakulana ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app

Wazungu hawachelewi kulana kimasihara[emoji13][emoji23]🤣

Lakini inategemea movie unatizama na nani, mie huwa sijachuguiiwe ya kihindi,kichina,kikorea,kijapan, wathailand, wasiwe bongo movie tu, ili mradi iwe iwe ya action,comedy hata animation ila haya mastori tupu mwanzo mwisho si mpenzi.
 
Tena wabinafsi mnoo wahindi yaani akina Deepika,Anushka,Priyanka na Kangna wametumika mnoo mpk wamefikia kutusua...!!!kuna siku Kangna Renault aliwahi mchamba Karan Johar kwenye Kipindi cha Koffee with Karan ,alimuuliza anaongeleaje kuhusu nepotism, akajibu,"wewe Karan ndo bingwa wa nepotism "ilikua tafrani haswaaa,..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...Mimi wazungu nilikua nawaangalia kina Hale Berry na Julia Robert,China na wakorea bado kidogo naangalua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RiP legend

Ila Bollywood huwa inanifikirisha sana

Ukiwa na haya majina mawili

Kapoor
Khan

Ni rahisi kutusua kule

Mengine ni

Shetty
Kumar
Bachanan



Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna ndugu au sio Miss au hautoki notable family hutoboii!!
Yaani ni walewale tu kwa sasa vibinti vinavyochupika vipo;
Sara Ali Khan
Jhanvi Kapoor
Ananya Pandey
Alia Bhatt
Hao wote baba zao mastaa wakubwa
Na naskia Kjo anataka amlunch Aryan Khan na Khushi Kapoor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namaanisha sio mkali wa kuigiza kama baba yake Vinod huyo mwanawe anaitwa Akshay Khanna yupo kwenye movie ya Dishoom na Section 375
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rest in Peace Rishi Kapoor,Rest in Peace Mzee Shemeji Shemeji.
 

Yule Kangna ni mshamba tu, mtu wa ovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…