- Thread starter
- #81
Namaanisha sio mkali wa kuigiza kama baba yake Vinod huyo mwanawe anaitwa Akshay Khanna yupo kwenye movie ya Dishoom na Section 375
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mpe heshima yake Akshay Khanna, ni katika finest actors of his generation, performance zake kwenye section 375 na Ittefak ni amazing kabisa. Tatizo lenu mnapenda warusha magumi na waimba nyimbo.
Mtu aliemfunika Aamir Khan kwenye Dil Chahta hai hawezi kuwa mtu wakawaida kabisa
Vinod Khanna na Sunil Dutt ndio mastaa pekee waliozaa watoto wenye vipaji vikubwa hata vya kuwashinda wazee wao..