Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Namaanisha sio mkali wa kuigiza kama baba yake Vinod huyo mwanawe anaitwa Akshay Khanna yupo kwenye movie ya Dishoom na Section 375

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu mpe heshima yake Akshay Khanna, ni katika finest actors of his generation, performance zake kwenye section 375 na Ittefak ni amazing kabisa. Tatizo lenu mnapenda warusha magumi na waimba nyimbo.

Mtu aliemfunika Aamir Khan kwenye Dil Chahta hai hawezi kuwa mtu wakawaida kabisa

Vinod Khanna na Sunil Dutt ndio mastaa pekee waliozaa watoto wenye vipaji vikubwa hata vya kuwashinda wazee wao..
 
Kama huna ndugu au sio Miss au hautoki notable family hutoboii!!
Yaani ni walewale tu kwa sasa vibinti vinavyochupika vipo;
Sara Ali Khan
Jhanvi Kapoor
Ananya Pandey
Alia Bhatt
Hao wote baba zao mastaa wakubwa
Na naskia Kjo anataka amlunch Aryan Khan na Khushi Kapoor

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hiyo ndio dunia ilivyo.

Ila Sara Ali Khan yupo vizuri nimemkubali kabisa bali huyo mtoto wa Sridevi na wa Chunkey Pandey naona bado labda wataimprove mbeleni ikiwa watadumu
 
Tena wabinafsi mnoo wahindi yaani akina Deepika,Anushka,Priyanka na Kangna wametumika mnoo mpk wamefikia kutusua...!!!kuna siku Kangna Renault aliwahi mchamba Karan Johar kwenye Kipindi cha Koffee with Karan ,alimuuliza anaongeleaje kuhusu nepotism, akajibu,"wewe Karan ndo bingwa wa nepotism "ilikua tafrani haswaaa,..

Sent using Jamii Forums mobile app

Wazee wamejilia sana mizigo, Hata bongo movie hupati nafasi kama hujaliwa akina Salma Heyek, JLO wamepitia hayo na wao huko West kwahiyo mambo ndivyo yalivo, sio wao tu hata wanaume ndio wamestragle Zaidi, Shahrukh Khan, Kay Kay Menon, Irfan Khan, Nawaz, Monoj Bajpaee wametoka mbali sana ikipitia historia zao
 
Wazungu hawachelewi kulana kimasihara[emoji13][emoji23]🤣

Lakini inategemea movie unatizama na nani, mie huwa sijachuguiiwe ya kihindi,kichina,kikorea,kijapan, wathailand, wasiwe bongo movie tu, ili mradi iwe iwe ya action,comedy hata animation ila haya mastori tupu mwanzo mwisho si mpenzi.

mpaka leo nashindwa kuwafahamu, zile sex scenes majority hazina hata umuhimu wa kuonyeshwa kabisa sijui wanalazimishia nini.
 
RiP legend

Ila Bollywood huwa inanifikirisha sana

Ukiwa na haya majina mawili

Kapoor
Khan

Ni rahisi kutusua kule

Mengine ni

Shetty
Kumar
Bachanan

Sent using Jamii Forums mobile app
sio Rahisi kutoboa Bollywood industry ina ugumu sana Producers wanawala sana Heroine (wadada) ili wawa Cast kwenye movies

Star mmoja tu ambaye alidai hakuwa na Godgather Bollywood na alitoboa ni Preity Zinta wengine uwe na Godfather, ukoo wenu, au Upanue UPAJA Mkwaju WAJA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena wabinafsi mnoo wahindi yaani akina Deepika,Anushka,Priyanka na Kangna wametumika mnoo mpk wamefikia kutusua...!!!kuna siku Kangna Renault aliwahi mchamba Karan Johar kwenye Kipindi cha Koffee with Karan ,alimuuliza anaongeleaje kuhusu nepotism, akajibu,"wewe Karan ndo bingwa wa nepotism "ilikua tafrani haswaaa,..

Sent using Jamii Forums mobile app
Karan Johar anajua ila Sex Orientation yake inakera sana fans wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio Rahisi kutoboa Bollywood industry ina ugumu sana Producers wanawala sana Heroine (wadada) ili wawa Cast kwenye movies

Star mmoja tu ambaye alidai hakuwa na Godgather Bollywood na alitoboa ni Preity Zinta wengine uwe na Godfather, ukoo wenu, au Upanue UPAJA Mkwaju WAJA

Sent using Jamii Forums mobile app

huyo Zinta yeye hakupanua?
 
Hahahahaha!!! mzee wa KKKK NNE
Kuch Much Hotae
Kahona pyar hai
Kabhi Khushi Kabhi Ghaam
Kabhi Alvida Naa Kehna!!!

Katika maproducer wengine nnaowakubali Sanjay Leela Bhanusali
Na yule wa Kusini SS Ramjoul
Kjo(Karan Johar)
Hash ilikua zamani sasa hivi hana kitu
Kuna mmoja mmemsahau

Jamaa kaisogeza sana company aliachiwa na baba yake, Japo simkubali filamu zake anazozi direct mwenyewe bali as producer nimemvulia kofia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekugundua wewe ni mtu wa action films
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]hata love story za kueleweka pia naangalia Salmaa ana zile series za Dabbang na Tiger Zindahi wacha wewee!

Best siku 1 Corona ikiisha twende pale cinemax aseehh!tukacheki movie[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wamejilia sana mizigo, Hata bongo movie hupati nafasi kama hujaliwa akina Salma Heyek, JLO wamepitia hayo na wao huko West kwahiyo mambo ndivyo yalivo, sio wao tu hata wanaume ndio wamestragle Zaidi, Shahrukh Khan, Kay Kay Menon, Irfan Khan, Nawaz, Monoj Bajpaee wametoka mbali sana ikipitia historia zao
Yaani kama kuna watu self made hao uliowataja SRK,Irfan,Nawaz NA Manoj ndo the real definition of Selfmade maana walikotokea daahh!!!Kuna dogo anaitwa Sidhart Malhotra yuko poa ila hatoki notable family daahh!anabaniwa ile ile yaani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom