Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Naomba nisaidiwe jamani nimeiangalia movie ya tarvaar zaidi ya mara tatu bado sijajua yule binti na kijana waliuliwa na nani hasa
 

ile movie imesimama sana
 
Naomba nisaidiwe jamani nimeiangalia movie ya tarvaar zaidi ya mara tatu bado sijajua yule binti na kijana waliuliwa na nani hasa

😂😂😂 pole sana dada, hata mimi bado naendelea kujiuliza, Ile ni true story na kile kifo bado kinautata na ndio mana filamu ikakuacha vile wewe ndio uamue kwa uoni wako
 
dos.2020 yah mkuu, huyu dogo hawezi mfikia baba yake, mzee Rishi...
Mkuu tafuta NAGINA,, na SAAGAR KINARE..hutojuta...kuanzia songs hadi story... RISH was the best...huyo mtoto hamkuti baba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ranbir ni noma anajua dogo!hakoseagi yaani Katafute Ae Dil Mushkil!nooomaaa

kumfananisha Rishi Kapoor na mwanawe ni sawa na kumlinganisha Leo Messi na Rashford au Rostam na mangi muuza vocha.
Rishi ametengeneza filamu 15 zenye hadhi ya kuitwa Blockbuster katika kipindi cha miaka 20 ya peak yake katika ujana wake..
Wakati Ranbior mpaka hivi sasa kashatafuna miaka 13 ndio kwanza ana Blockbuster 2
Hapo pana cha kulinganishwa? aendelee kumshukuru baba yake tu ndio aliemueka pale alipo.

The Best Films Of Rishi Kapoor - Bobby Has Historic Numbers - Box Office India
 
Ile nafasi ya Ajay Devgan,Akshay,Salman au Sanjay Dutt!lile lipo lipo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Irfan ilimchukua miaka 15 mpaka kupata proper role
Nawaz ilimchukua miaka 14 mpaka alipopata proper role ya film
[emoji3][emoji3][emoji3]wakati mtoto wa Boney Arjun juzi tu hapa tayari anaigiza,Varun Dhawan dogo wa juzi anapewa major role,akina Ranvir Singh daahhh!!!Bollywood Nyoso sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wakati mtoto wa Boney Arjun juzi tu hapa tayari anaigiza,Varun Dhawan dogo wa juzi anapewa major role,akina Ranvir Singh daahhh!!!Bollywood Nyoso sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mastaa wa Bollywood sasa wanapata jina kupitia umaarufu wa wazazi wao(real talent those days), ila sasa ukiwaangalia sio kivile, wengine ndio unaona kabisa hapa hamna kitu...!!!
 
Mmoja alikuwa anaitwa Vinod Khanna(marehemu), ndiyo baba wa Akshaye Khanna.
 
mwandende inaitwa Deewaar(Ukuta) ya 1975. Hiyo aliigiza na Shashi Kapoor ambaye alikuwa ni mjomba wa Rishi Kapoor upande wa baba.
 
Performance ya RIshi Kapoor ndani ya Kapoor & Sons itabakia kua ndio performance bora kabisa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…