Naomba nisaidiwe jamani nimeiangalia movie ya tarvaar zaidi ya mara tatu bado sijajua yule binti na kijana waliuliwa na nani hasa
Doh si riziki kumbe...!!!Jamaa ni Gay
Naomba nisaidiwe jamani nimeiangalia movie ya tarvaar zaidi ya mara tatu bado sijajua yule binti na kijana waliuliwa na nani hasa
wahindi nao wameingia upumbavu siku hizi...yule angeweza kubeba demu yeyote anayemtaka Ila ndio kawa shoga...
wahindi nao wameingia upumbavu siku hizi...yule angeweza kubeba demu yeyote anayemtaka Ila ndio kawa shoga...
sasa si ndio ashajibu😀Yaani nasikitika sana ana watoto amewapata kwa surrogacy na anafanya siri sana huo ujinga wake aliwahi ulizwa km yeye ni gay akasema hawezi kujibu kwani sheria za India (kipindi hiko zilikua zinakataza hayo mambo)zitambana
Sent using Jamii Forums mobile app