Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Muigizaji Rishi Kapoor afariki Dunia

Naomba nisaidiwe jamani nimeiangalia movie ya tarvaar zaidi ya mara tatu bado sijajua yule binti na kijana waliuliwa na nani hasa

True story na wazazi walienda JELA

mystery ingine tafuta UGY (2013) hii movie ya Kihindi inafikirisha kama si kuhuzunisha mystrerious murder huelewi imekwendaje
 
Yaani nasikitika sana ana watoto amewapata kwa surrogacy na anafanya siri sana huo ujinga wake aliwahi ulizwa km yeye ni gay akasema hawezi kujibu kwani sheria za India (kipindi hiko zilikua zinakataza hayo mambo)zitambana
wahindi nao wameingia upumbavu siku hizi...yule angeweza kubeba demu yeyote anayemtaka Ila ndio kawa shoga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom