Muigizaji Sophia Kanumba yuko anasoma Form 5 Nchini Australia

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Habari ya Asubuhi na Poleni na Hekaheka za Ashura Wa Tabata.

Niko Nasikiliza Ufm Radio ya Azam Media, Anahojiwa Msanii Wa Maigizo Anaitwa Sophia Kanumba.

Binti Huyo Anadai aonekani Nchini Kwa Sababu Yuko Nchini Australia anasoma Kidato Cha 5.

Namskia Hapa Hata lafudhi yake imebadilika anaongea kiswahili Cha kizungu na pia anaongea kiswahili Huku anachanganya na kingereza.

Tumtakie Binti Sophia Kanumba masomo mema Huko Australia wakuu [emoji275][emoji275][emoji275][emoji275]
 
Nikulikumbuka jinsi alivyokuwa mtoto kweye BIG DADDY kisha nikalinganisha na jinsi alivyo sasa naishia kuconclude kwamba, attractive life span ya mwanamke ni ndogo sana ikilinganishwa na ile ya mwanaume.

Dogo amekuwa mkubwa kiasi kwamba hata mimi niliye na miaka 40+ natemba nae bila shida.
 
Mnatembea kwenda wapi?
 
Wakuu Habari ya Asubuhi na Poleni na Hekaheka za Ashura Wa Tabata.

Niko Nasikiliza Ufm Radio ya Azam Media, Anahojiwa Msanii Wa Maigizo Anaitwa Sophia Kanumba.

Binti Huyo Anadai aonekani Nchini Kwa Sababu Yuko Nchini Australia anasoma Kidato Cha 5.

Namskia Hapa Hata lafudhi yake imebadilika anaongea kiswahili Cha kizungu na pia anaongea kiswahili Huku anachanganya na kingereza.

Tumtakie Binti Sophia Kanumba masomo mema Huko Australia wakuu [emoji275][emoji275][emoji275][emoji275]
Huyu mtoto na wenzie wanasoma huko tangu wako vidudu..na Dada yao chuo
Sijui wazazi wafanyabiashara wakubwa ama..
 
Sophia kanumba
Patrick kamumba

Hawa ndo watoto wa marehemu kanumba ze great.
 
Back
Top Bottom