Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mnatembea kwenda wapi?Nikulikumbuka jinsi alivyokuwa mtoto kweye BIG DADDY kisha nikalinganisha na jinsi alivyo sasa naishia kuconclude kwamba, attractive life span ya mwanamke ni ndogo sana ikilinganishwa na ile ya mwanaume.
Dogo amekuwa mkubwa kiasi kwamba hata mimi niliye na miaka 40+ natemba nae bila shida.
Wa mbeya watakosaje muda wa kusikiliza umbeya waupeleke insta?Mnapata wapi muda wa kusikiliza umbea asubuh yote hii
LodgeMnatembea kwenda wapi?
Lodge.Mnatembea kwenda wapi?
Weka ushahidi wa pichaDogo kwao wapo vzr, muda mrefu alikua anapost yupo nje.
Huyu mtoto na wenzie wanasoma huko tangu wako vidudu..na Dada yao chuoWakuu Habari ya Asubuhi na Poleni na Hekaheka za Ashura Wa Tabata.
Niko Nasikiliza Ufm Radio ya Azam Media, Anahojiwa Msanii Wa Maigizo Anaitwa Sophia Kanumba.
Binti Huyo Anadai aonekani Nchini Kwa Sababu Yuko Nchini Australia anasoma Kidato Cha 5.
Namskia Hapa Hata lafudhi yake imebadilika anaongea kiswahili Cha kizungu na pia anaongea kiswahili Huku anachanganya na kingereza.
Tumtakie Binti Sophia Kanumba masomo mema Huko Australia wakuu [emoji275][emoji275][emoji275][emoji275]
Guest bubuMnatembea kwenda wapi?