kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Huyu dada nimeanza kumuona longi. ukizungumzia wasanii wa bongo muvi wasiokua na skendo/kiki za kipumbavu, tausi mmoja wao.kwa msiomjua tausi ni msanii wa bongo muvi komedi, komedi nyingi amechezana mzee majuto. dada tausi ukitaka upate mafanikio zaidi katika sanaa yako nakushauri usijaribu kuiga tabia chafu za kina wema na wezake, ukijabu kuiga tabia zao utaharibu utapotea vibaya katika sanaa yako.
tausi akiwa na mwanae