Muigizaji wa bongo muvi Tausi Mdegela

Muigizaji wa bongo muvi Tausi Mdegela

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Huyu dada nimeanza kumuona longi. ukizungumzia wasanii wa bongo muvi wasiokua na skendo/kiki za kipumbavu, tausi mmoja wao.kwa msiomjua tausi ni msanii wa bongo muvi komedi, komedi nyingi amechezana mzee majuto. dada tausi ukitaka upate mafanikio zaidi katika sanaa yako nakushauri usijaribu kuiga tabia chafu za kina wema na wezake, ukijabu kuiga tabia zao utaharibu utapotea vibaya katika sanaa yako.
1474460579068.jpg
1474460617938.jpg
1474460617938.jpg
1474460635868.jpg
tausi akiwa na mwanae
 
Huyu dada nimeanza kumuona longi. ukizungumzia wasanii wa bongo muvi wasiokua na skendo/kiki za kipumbavu, tausi mmoja wao.kwa msiomjua tausi ni msanii wa bongo muvi komedi, komedi nyingi amechezana mzee majuto. dada tausi ukitaka upate mafanikio zaidi katika sanaa yako nakushauri usijaribu kuiga tabia chafu za kina wema na wezake, ukijabu kuiga tabia zao utaharibu utapotea vibaya katika sanaa yako. View attachment 404339View attachment 404339View attachment 404339View attachment 404341View attachment 404341View attachment 404342View attachment 404342 tausi akiwa na mwanae
Aisee watu hawana huruma wamekibandua ki Tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyo jamaa inaonekana ana ugwadu sana
 
Naona hata mtoto anafanana na mama yake naona vidole vyake ila muda ndo msema kweli
 
Back
Top Bottom