kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Aisee watu hawana huruma wamekibandua ki Tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyo jamaa inaonekana ana ugwadu sanaHuyu dada nimeanza kumuona longi. ukizungumzia wasanii wa bongo muvi wasiokua na skendo/kiki za kipumbavu, tausi mmoja wao.kwa msiomjua tausi ni msanii wa bongo muvi komedi, komedi nyingi amechezana mzee majuto. dada tausi ukitaka upate mafanikio zaidi katika sanaa yako nakushauri usijaribu kuiga tabia chafu za kina wema na wezake, ukijabu kuiga tabia zao utaharibu utapotea vibaya katika sanaa yako. View attachment 404339View attachment 404339View attachment 404339View attachment 404341View attachment 404341View attachment 404342View attachment 404342 tausi akiwa na mwanae
Acha hizo, kwani Tausi ana nini?!Aisee watu hawana huruma wamekibandua ki Tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyo jamaa inaonekana ana ugwadu sana
we unataka awe na nini?Acha hizo, kwani Tausi ana nini?!
Labda alitaka awe na naniliwe unataka awe na nini?
Huwezi jua huenda yupoShe looks so cute,i wish she was JF member!
Mods naombeni mnipe ID ya huyu cutebabe!Huwezi jua huenda yupo
Mkuu mimi siyo moderatorMods naombeni mnipe ID ya huyu cutebabe!
Wala sijakuita moderator mkuu,cool down man!Mkuu mimi siyo moderator
Sasa ulivyo quote post yangu na kusema mods naomba mnipe ID ya huyu Cute bby ulimaanisha nini?Wala sijakuita moderator mkuu,cool down man!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aisee watu hawana huruma wamekibandua ki Tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyo jamaa inaonekana ana ugwadu sana
anajiamini sana huyu dadaMimi nampenda anajiamini vibaya