Muigizaji wa bongo muvi Tausi Mdegela

.....namkubali sana huyu bibie!..,kazi nzuri!.akaze zaidi!
.inshaAllah!
 
Muogope Mungu mkuu..Hayo sio maneno ya kuongea kabisa
 
Atakuwa MWAKI ndiye mzazi mwenzie. Mungu ambariki sana, anajiheshimu sana aiseee!, lete kanamba kake hapa
 
Natamanigi kucheza nako game,kumbe kuna wajanja wameshazalisha tayar,hapo ndo huwa nawasifu wanaume hatunaga uchoyo lakin sis ukiwa na kasoro unaweza kosa hata mbunye ya kutolea ugwadu mpaka uwe na mkwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…