Jitu Refu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 823
- 811
Sio ugwadu,kuna watu huwa tunataman kutest vtu tofautAisee watu hawana huruma wamekibandua ki Tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyo jamaa inaonekana ana ugwadu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ugwadu,kuna watu huwa tunataman kutest vtu tofautAisee watu hawana huruma wamekibandua ki Tausi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , huyo jamaa inaonekana ana ugwadu sana
duuuh aisee we kibokoHuyo mtoto nijuavyo ni wa dada yake.
Hiyo picha walipiga miaka miwili iliyopita na ilikuwa kwenye graduation ya huyo dogo.
Period
Unacheza na madume hahahaMmh kumbe ana mtoto Mkubwa hvyo!!
Kuna kamoja nilikabikir miaka ya 2004 aisee kalipiga kelele kama king'ora halafu kalining'ata hadi leo alama ninayo.Sio ugwadu,kuna watu huwa tunataman kutest vtu tofaut
Hahaha behavourist , Hilo nalo nenoShe looks so cute,i wish she was JF member!
hakuna kitu kama hiko mkuu, nimeandika hii thread kwa lengo moja kumsifia ila naona baadhi ya wachangiaji hawana busara mfano mchangiaji wa pili
Inamaana mkuu na wanao wazaa wanakua kama walivyo wao?ndio wanazaa lakini mara nyingi wanazaa kwa upasuaji kutokana na kimo chao
Kwani hana kizaziHivi kimbe watu wa hivi wanazaa?
Muda wa nini ndo msema kweliNaona hata mtoto anafanana na mama yake naona vidole vyake ila muda ndo msema kweli
Huyu dada nimeanza kumuona longi. ukizungumzia wasanii wa bongo muvi wasiokua na skendo/kiki za kipumbavu, tausi mmoja wao.kwa msiomjua tausi ni msanii wa bongo muvi komedi, komedi nyingi amechezana mzee majuto. dada tausi ukitaka upate mafanikio zaidi katika sanaa yako nakushauri usijaribu kuiga tabia chafu za kina wema na wezake, ukijabu kuiga tabia zao utaharibu utapotea vibaya katika sanaa yako. View attachment 404339View attachment 404341View attachment 404341View attachment 404342tausi akiwa na mwanae
Huyu Tausi anacheza pia kwenye kundi la Futuhi startv? Kuna dada fulani namwona huko akifanana na Tausi.
Uko sahihiHuyo mtoto nijuavyo ni wa dada yake.
Hiyo picha walipiga miaka miwili iliyopita na ilikuwa kwenye graduation ya huyo dogo.
Period
Umesaidia.Mhhh mbona hii thread kama Sarcasm vile ?
Yap dwarfismNaona hata mtoto anafanana na mama yake naona vidole vyake ila muda ndo msema kweli