TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

hii miaka ya kariibuni kabla kuanza kuugua alikua ndio yupo kwenye peak kabisa.

Hindi Medium
Blackmail
Billu Barber
Maqbool
Karwaan

Hizi filamu kwangu siwezi kuzisahau
Dah hiyo Billu naikubali sana.
Kuna ile alocheza pamoja na Akshay Kumar,Sunil Shetty na Bob Deol nimeisahau jina nayo imesimama balaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miongoni mwa wahindi wasio na makuu namkubali sana Irfan Khan kwenye Tevaar ndo alinikosha haswaa na Hindi medium daahh!!acha kabisa mmeshtuka sana Leo na msiba wake yaani is Isingekua lock down Leo Bollywood ilikua inatikisika kama alivokufa Sri Dev...May his Soul Rest In Peace

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamaa alikua simple kabisa, hana shangwe wala mbwebwe
 
Back
Top Bottom