TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

hii miaka ya kariibuni kabla kuanza kuugua alikua ndio yupo kwenye peak kabisa.

Hindi Medium
Blackmail
Billu Barber
Maqbool
Karwaan

Hizi filamu kwangu siwezi kuzisahau
Dah hiyo Billu naikubali sana.
Kuna ile alocheza pamoja na Akshay Kumar,Sunil Shetty na Bob Deol nimeisahau jina nayo imesimama balaa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni movie niliyohakikisha ninaiona kwenye theater screen. RIP Ifarrn
 

Jamaa alikua simple kabisa, hana shangwe wala mbwebwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…