Muimba injili Pinela Justine akiwa amepozi! Hawa ndio waimba injili wetu

Muimba injili Pinela Justine akiwa amepozi! Hawa ndio waimba injili wetu

Sawa tumemuona. Kwa kuongezea tu ni mke wa mtu pia mtoto wa kiroho wa Pastor.Masanja mkandamizaji
Pastor mkandamizaji HAKANDAMIZI hapa kwa mwanae wa kiroho, Unahitaji roho kuuubwa kuepuka huu msala.
 
Hahahahaaaaaa, tumekwishaaaaaaa.
Mbona ni kama muuza "kitumbua"!?.
 
Back
Top Bottom