Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.
Nakukemea, Badilika haraka .
Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.
Nakukemea, Badilika haraka .