Muimba wa Gospel Bela Kombo jitafakari, mavazi yako si ya Staha

Muimba wa Gospel Bela Kombo jitafakari, mavazi yako si ya Staha

Mimi huyu dada sijawahi mwamini kama kweli anamsifu Mungu wake ...huyu kajchomeka upande huo coz aliharibu sana cv yake .juzi kwenye uzinduzi wa Duka la Christna Shusho alivaa jumpsuit imemchora toe camel balaa...argh kichrfchefu
 
Shetani akizeeka....,
Walokole bhana ndo maana mpaka makanisani mnapigwa na LBL
Yaani huyu naye mnmuita mtumishi muimbaji Bora niendelee kula kaya na marasta
 
Unajua kuimba lakini ni lazima ufahamu kwamba, Mavazi ya kubana nyama hayakubaliki kwa Watumishi wa Mungu, Unataka kumuonyesha nani hayo maungo yako na ili iweje?

Huwezi kuvaa kama Rihanna halafu ukamtukuza Mungu, iko mipaka kati ya watu wa Dunia na wacha Mungu.

Nakukemea, Badilika haraka .

Kufunguliwa inachukuaga muda kutegemea na hali ya ndani ya mtu husika. Kumbuka anajulikana Kwa sababu ya kipawa, kipawa hakibadilishi mtu
 
Back
Top Bottom