TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Huyu hapa ndo mume Mtarajiwa wa Muimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa
Umeonaje mkuu?😂 H ndoa ikivunjika niiteni mbwa, Kuna couple ukiiangalia unaona ndoa ipo hapo
Kwa machoUmeonaje mkuu?
Ameshatolewa mahari na kuagwa kwao (send off), hivyo kimila ni ndoa tayari, hapo bado white wedding tu (ndoa ya kizungu-kanisani)Mkuu mbona mume mtarajiwa tena na title umeandika kaolewa?
😂😂😂😂😂😂 H ndoa ikivunjika niiteni mbwa, Kuna couple ukiiangalia unaona ndoa ipo hapo
Ya rohoni?Kwa macho
Wana Chemistry kubwa sanaSafi wanaendana
Naona miaka 70 ya ndoa yaoWana Chemistry kubwa sana
Ameen!!Naona miaka 70 ya ndoa yao
Hapo hata hamna cha ameen ni kwamba ndivyo ilivyoAmeen!!
https://www.facebook.com/😂 H ndoa ikivunjika niiteni mbwa, Kuna couple ukiiangalia unaona ndoa ipo hapo
Kwani ipo?Hongera miriamu.
Team bikira mje mumpongeze Miriamu alishasema ataolewa akiwa bikira.
Ndio alishasema hivyo .Kwani ipo?