Wiki hii baadhi ya watu maarufu kutoka Ghana wametrend Sana kutokana na kauli zao ukiachana na kauli ya mchungaji Nigel Gaisie aliyedai atamfufua Kobe Bryant kama atapata 10% ya Mali zake.
Mwanamziki mrembo Queen haizel amefunguka hiv karibuni wakati akifanyiwa interview na Moja ya redio maarufu nchini kwao Ghana ana mpango wa kukata nyeti zake ili ajikite na mziki baada ya kuchoka na mambo ya mapenzi adai ametembea na wanaume 30 na Kati yao hakuna hata mmoja aliyedumu naye hata mwaka 1 aliyejitahidi Sana ni yule aliyekaa naye miezi mitatu tu.
Mrembo huyo ameongeza kuwa wanaume wengi wanakuja kwake
kwa tamaa za kimwili sio kwa kujenga maisha so nimeona Bora niende zangu Marekani kwa muda kwa zoezi la kukata nyeti zangu.