Maasai 2676
Member
- Jan 19, 2018
- 27
- 9
aaii! aki kiswahili enye imetumka kuwaongelesha hao wa kei ni ngumu kushikanisha,wa tz wako na kiswaili ingine fani sana,venye inakaanga ni kama hawataki mutu ingine ashikanishe hiyo mambo wako nayo kwa hiyo kiswahili yao.