Muislamu anayefariki Hijja

Muislamu anayefariki Hijja

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Endapo ukifa Makka au madina katika Hija huwa minafaizina

Aya ambazo zinaelezea neema za peponi kwa waumini:

  1. Surat Al-Waqi'ah (Sura ya 56), Aya 22-24:
    "Na wao watakuwa juu ya mito inayotiririka, na matunda ya wao watakavyo kuwa wakiyapenda. Na nyama ya ndege watakapo kuwa wakiyataka. Na wenye sura ya umri wakiwa wakiyaketi kwa makochoko."
    Aya hii inatoa picha ya anasa za peponi, ikiwa ni pamoja na mito inayotiririka, matunda, na vyakula vya kila aina ambavyo waumini watapata katika peponi.
  2. Surat Ar-Rahman (Sura ya 55), Aya 54-56:
    "Kila mmoja kati yao atakuwa na kile alicho nacho. Na Mola wako Mlezi atawawapa wao nini walicho zidi kuhisi. Na wao watakuwa na matunda na wanachagua."
    Aya hizi zinaelezea kwamba Mwenyezi Mungu atawazidishia waumini wake kila wanachokitaka na wanachohisi, na watapata neema bila ukomo katika peponi.
 
Anakwensa moja kwa moja peponi!.
P
Uislam raha sana, ukiwa nje ya uislam utaichukia uislam lkn ukinngia roho inakuwa nyepesi. maana ukiigia msikitini sio lazima utoe sadaka ndio usali tofauti na dini nyegine
 
Imani bana, hongereni mnaoamini hizo theories.
cha ajbu huamini theory lakini siku ya siku unakuta babu zako wananyakuliwa ktk dunia hii. hujiulizi wanaenda wapi?
 
Heri tubaki na imani zetu za kuabudu milimani, mapangoni na chini ya miti kuliko hizo hadithi za kibiashara ili watu waende kwa wingi na kuacha maokoto huko
Bibi yako aliekufa akiamini mizimu kama angalikuwa na simu angalikupigia akakuonya haya maneno ulioandika hapa
 
Bibi yako aliekufa akiamini mizimu kama angalikuwa na simu angalikupigia akakuonya haya maneno ulioandika hapa
Duniani kuna miungu mingi na imani nyingi zaidi ya 5000, unathibitisha vipi kuwa mungu wako ndiye wa kweli kuliko wa wengine?
 
cha ajbu huamini theory lakini siku ya siku unakuta babu zako wananyakuliwa ktk dunia hii. hujiulizi wanaenda wapi?
Wanaenda wapi zaidi ya kuwa mbolea tu aridhini boss?
 
Wanaenda wapi zaidi ya kuwa mbolea tu aridhini boss?
akili zako za bandia. jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi? umepitia wapi? jee ulipopita ukiambiwa urudi tumboni utarudi? sasa kama ulikuwa uchafu wa maji maji ukaweza kutype Ashindwe kukufua tena?
 
akili zako za bandia. jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi? umepitia wapi? jee ulipopita ukiambiwa urudi tumboni utarudi? sasa kama ulikuwa uchafu wa maji maji ukaweza kutype Ashindwe kukufua tena?
Toka nje ya box bro, achana na hizo imani za kumaliza ubongo wako. Hiyo suruali fupi na kobazi isikupe kiburi kuwa unamjua sana huyo Mungu.
 
Anakwensa moja kwa moja peponi!.
P
Pepo ipi?

Yaani mtu/binadamu anamfuata shetani chumbani kwake, anamnyonga na kufia huko halafu unaamini mtu huyu anaenda mapumzikoni - peponi??? Really?

No way brother Pascal Mayalla.!!

Hao waliofia huko ni kwamba kama hawakupata fursa ya kutubu na kuingia ktk njia ya kweli na sahihi (i.e Yesu Kristo), basi shetani/ibilisi keshajivunia (harvested) mavuno yake na wanaingia kwenye pepo ya uharibifu na mateso ya milele maana imeandikwa mahali kuwa "baada ya kifo, ni hukumu'"
 
Back
Top Bottom