Muitaji wa KOKOTO nyeusi/Mchanga......

Muitaji wa KOKOTO nyeusi/Mchanga......

July 77

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2024
Posts
3,200
Reaction score
4,556
Wakuu tunauza KOKOTO nyeusi na mchanga......kwa muitaji wa kokoto nyeusi na mchanga...

KOKOTO NYEUSI Cubic meter 1 ni Tsh 120,000/=

MCHANGA CUBIC METER 01 Tsh. 50000/=

0671 220233 tupo DSM.

Kokoto ujazo wa gari TONE 2, NI TSH 240,000/=

MCHANGA KWA ujazo wa gari ya TANI MBILI ni TSH 100,000/=
 
Wakuu tunauza KOKOTO nyeusi na mchanga......kwa muitaji wa kokoto nyeusi na mchanga...

KOKOTO NYEUSI Cubic meter 1 ni Tsh 120,000/= 0671 220233 tupo DSM.
Bei za mchanga je?
 
Wakuu tunauza KOKOTO nyeusi na mchanga......kwa muitaji wa kokoto nyeusi na mchanga...

KOKOTO NYEUSI Cubic meter 1 ni Tsh 120,000/= 0671 220233 tupo DSM.
Wizi tu yaani kupasua tu ndio ufikie huko

USSR
 
Wakuu tunauza KOKOTO nyeusi na mchanga......kwa muitaji wa kokoto nyeusi na mchanga...

KOKOTO NYEUSI Cubic meter 1 ni Tsh 120,000/=

MCHANGA CUBIC METER 01 Tsh. 50000/=

0671 220233 tupo DSM.
Hizi cubic metres kwanini usiziweke.kwenye ujazo wa gari...itakuwa rahisi kwa wengine.kufahamu
 
Tangazo lako halijatimia mkuu.

Hujasema ujinga wapi na hujaweka wazi kuwa gharama hizo ulizosema hazihusishi usafiri!
 
Nikweli mkuu, sasa Maeneo ni mengi huwezi kuweka transporter ya kila sehemu! Ila hapo juu ni bei tu ya kokoto pekee.
 
Back
Top Bottom