Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ana hatimiliki ya hiyo nyumba yani warka watarithi ndugu zake kikubwa awaoneshe kabisaa na awape document za NyumbaHamjambo?
Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi?
Asanteni
Au kama vipi m nipo zenji hpa tutafute mtu anunue nyumba hiyoHamjambo?
Mwanamke fulani kutoka Italy ana nyumba Zanzibar tangu zamani. Huyu mwanamke anazeeka kwa hiyo anataka kuja nyumba yake inaweza kurithiwa na jamaa zake wanaoishi Italy? Pia warithi hawa wanaweza kukataa urithi?
Asanteni
Ha! Ha! "anae miliki" si Kiswahili fasaha! Kiswahili fasaha ni "anaye nyumba" au "anayemiliki nyumba". Soma zaidi.hebu andika kiswahili fasaha tuelewe ni mzungu anaye nyumba au mzungu anae miliki nyumba?
Nakushukuru sana. Hata kama ni wageni? Tena kama wana haki ya urithi lakini hawataki, wanaruhusiwa kukataa?Kama ana hatimiliki ya hiyo nyumba yani warka watarithi ndugu zake kikubwa awaoneshe kabisaa na awape document za Nyumba
Kweli? Kumbe sikujua! Asante sana.Aulize wanasheria huko Zanzibar
Ndo wamekataa wenyewe hao kurithiNakushukuru sana. Hata kama ni wageni? Tena kama wana haki ya urithi lakini hawataki, wanaruhusiwa kukataa?
Mgeni anauziwa Ardhi Zanzibar ila mgeni anauziwa kwa kukodishwa sio kumiliki moja kwa moja na anatakiwa arenew mkataba wake nahis baada ya 2yrsKama ni nyumba ya kuishi tu na sio hoteli au nyumba ya biashara basi hati yake itakuwa ni batili sababu sheria ya ardhi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi kama sio kwa lengo la kuwekeza, na kama ni vinginevyo basi watoto wake watapaswa kuandika barua yenye sababu za kukataa urithi kabla ya mwezi ili wasiendelee kudaiwa kodi
Kweli! Mgeni anaruhusiwa kukodisha tu. Huyu mwanamke ana "Lease".Mgeni anauziwa Ardhi Zanzibar ila mgeni anauziwa kwa kukodishwa sio kumiliki moja kwa moja na anatakiwa arenew mkataba wake nahis baada ya 2yrs
Uko sahihi mkuu
Huyu mwanamke si mliki, amepata "Lease" tu.Kama ni nyumba ya kuishi tu na sio hoteli au nyumba ya biashara basi hati yake itakuwa ni batili sababu sheria ya ardhi hairuhusu mgeni kumiliki ardhi kama sio kwa lengo la kuwekeza, na kama ni vinginevyo basi watoto wake watapaswa kuandika barua yenye sababu za kukataa urithi kabla ya mwezi ili wasiendelee kudaiwa kodi
Ni kweli, lakini wageni wanatakiwa kuomba "lease" upya baada ya miaka 33 au 66 au 99.Mgeni anauziwa Ardhi Zanzibar ila mgeni anauziwa kwa kukodishwa sio kumiliki moja kwa moja na anatakiwa arenew mkataba wake nahis baada ya 2yrs
Uko sahihi mkuu