Muite (Call Out) hapa mwana JF yoyote unayetaka ku-battle au ku-debate naye

Muite (Call Out) hapa mwana JF yoyote unayetaka ku-battle au ku-debate naye

Nisaidie tu Kuniulizia Kwake je, atapigana nami kwa kuzitumia ID's zake zote za The Legacy na ya UMUGHAKA au Moja?
Keyboard warrior naona Unajipa moyo!

Hapa Jukwaani Mwanaume aitwaye UMUGHAKA anayo akaunti moja tu na ndiyo hii anayoitumia,kama unadhani naweza Kuwa na akaunti zaidi ya moja hayo ni matumizi mabaya ya akili kama ambavyo wewe huna akili hata moja!
 
Naona BAN yako ya Siku 5 imeisha. Vipi je, utaendelea kuzitumia zote au sasa ile ya UMUGHAKA utaipumzisha kidogo?
Ni aibu mwanamke wa kizanaki ambaye hujakeketwa kutajataja jina la mwanaume shababi wa kikurya!

Jina hili la UMUGHAKA lina thamani kubwa kuzidi ukoo wenu wote uliojaa vichaa na wehu wakiongozwa na wewe kichwa Cha mwendawazimu!
 
Back
Top Bottom